Tanzania na tishio la maambukizi ya homa ya ini
Tanzania inakabiliwa na ongezeko kubwa la maambukizi ya ugonjwa hatari wa homa ya ini, ambapo kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo hivi sasa ni mara kumi ya yale ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi.