Yanga walia na hujuma za TFF. Baraka Kizuguto-Afisa Habari wa Yanga SC Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga SC, wamelishutumu shirikisho la soka hapa nchini TFF na bodi ya ligi kwa kufanya mipango ya makusudi kuisaidia Azam itwae ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Read more about Yanga walia na hujuma za TFF.