Leo ni sikukuu ya Pasaka

Waumini wa dini ya Kikristo nchini Tanzania, leo wanaungana na wenzao duniani kote kuadhimisha sherehe ya Pasaka, sherehe ambayo ni kumbukumbu ya kufufuka kwa mwokozi wao mpendwa Yesu Kristo, tukio lililotokea yapata miaka elfu mbili iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS