DIT yaitandika IFM Magoli 5-2 Wachezaji wakichuana katika soka la Ufukweni vyuo 12 vya elimu ya juu jijini Dar es salaam nchini Tanzania vimeanza kuchuana katika soka la ufukweni kutafuta bingwa wa michuano inayofanyika kwa mara ya kwanza chini ya usimamizi wa shirikisho la soka nchini TFF. Read more about DIT yaitandika IFM Magoli 5-2