Wasioona walaani vitendo vya unyanyapaa

Chama cha Wasioona Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania kimelaani unyanyapaa unaoendelea katika jamii, katika huduma mbalimbali hasa kwa Wanawake wenye ulemavu wanapokwenda kupata huduma za afya ya uzazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS