Cheka ajifua kumchapa Muiran Aprili 12
Bondia Francis Cheka SMG wa Tanzania ambaye atashuka uliongoni Aprili 12 mwaka katika ukumbi wa PTA jijini Dar es salaam kuvaana na bondia toka Iran hivi sasa amerejea jijini Dar es salaam na kuendelea na mazoezi mazito.