Amis Tambwe wa Simba akishangilia moja kati ya mabao yake 19 aliyoifungia timu yake nakuibuka mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2013/2014
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema iko katika mikakati ya kuhakikisha ligi kuu ya msimu ujao wa 2014/2015 inakuwa bora zaidi kuliko msimu uliomalizika