Kikwete kuongoza kumbukumbu kifo cha Sokoine
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania anatarajiwa kuongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edwad Morinnge Sokoine yatakayofanyika wilayani Monduli