2Face kuibuka na Albam mpya 2 Face Msanii wa muziki 2face Idibia ameendelea kuonesha jitihada na mipango mikubwa katika muziki wake, ambapo staa huyu ametangaza ujio wa albam yake mpya kabisa, itakayosimama kwa jina 'Rewind, Select and Update..' Read more about 2Face kuibuka na Albam mpya