Ben Pol kukamua majuu Ben Pol Ben Pol, msanii wa miondoko ya R&B hapa nchini, amepata shavu la kufanya onesho huko nchini Ujerumani, nafasi ambayo inakuwa ni ya kwanza na kubwa kabisa kwa msanii huyu kukwea katika jukwaa kubwa nje ya nchi. Read more about Ben Pol kukamua majuu