Serikali ifundishe uzalendo, uadilifu - wanafunzi
Serikali ya Tanzania imetakiwa kutoa mafunzo ya uzalendo na uadilifu kwa wanafunzi wanaosomea fani za fedha ili kuepusha vitendo vya wizi na ubadhirifu wa fedha uliokithiri katika sekta hiyo kwa sasa.