TFDA kutoa elimu madhara ya vipodozi

Msemaji wa mamlaka ya chakula na dawa TFDA, Gaudensia Simwanza.

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania (TFDA) imesema ipo mbioni kuanza kutoa elimu ya madhara ya vipodozi katika ngazi za shule za msingi hadi vyuo vikuu ili kuleta uelewa kuhusu madhara yatokanayo na utumiaji wa vipodozi vyenye sumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS