Tanzania kuiuzia Kenya mahindi ya Chakula Serikali ya Tanzania imesaini makubaliano na serikali ya Kenya kwa ajili ya kuanza kuwauzia nafaka aina ya mahindi, ili kukabiliana na upungufu wa chakula unaoikabili nchi hiyo. Read more about Tanzania kuiuzia Kenya mahindi ya Chakula