Viongozi pambaneni na rushwa - PLO Lumumba
Mwanaharakati maarufu barani Afrika ambaye ni raia wa Kenya Profesa PLO Lumumba, amesema tatizo la rushwa katika nchi nyingi barani Afrika ikiwemo Tanzania linatokana na viongozi wa nchi hizo kukosa utashi wa dhati wa kisiasa.

