Nyavu haramu za Mil. 90 zateketezwa kwa moto

Sehemu ya nyavu haramu zikiteketezwa kwa moto

Serikali kupitia idara ya  uvuvi mkoani  mara  imeendesha  oparesheni  kali  na kufanikiwa kukamata  zana haramu  ambazo zilikuwa zikitumika  kuvulia  samaki  katika  ziwa  Victoria

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS