Wapendekeza mabadiliko uchaguzi serikali za mitaa

Hebron Mwakagenda, Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa cha Policy Forum.

Wajumbe wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa cha Policy Forum, wamependekeza uchaguzi wa serikali za mitaa ufanyike mwakani pamoja na uchaguzi mkuu kama ilivyofanya Kenya na Zimbabwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS