Octopizzo katika kichupa na M.I.

rapa wa nchini Kenya Octopizzo

Nyota ya rapa Octopizzo yazidi kung'ara ambapo sasa mkali huyo ametoa kidokezo kipya ambacho tayari kimeanza kuteka mashabiki juu ya ujio wa kichupa chake kipya na mkali huyo wa kutoka Naija, M.I.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS