Sunday , 20th Jul , 2014

Nyota ya rapa Octopizzo yazidi kung'ara ambapo sasa mkali huyo ametoa kidokezo kipya ambacho tayari kimeanza kuteka mashabiki juu ya ujio wa kichupa chake kipya na mkali huyo wa kutoka Naija, M.I.

rapa wa nchini Kenya Octopizzo

Kichupa hicho kipya kilichobatizwa jina 'Salute Me' ni moja ya kazi yake mpya ambayo imefanyiwa kazi nje ya Kenya ambacho kinatarajia kutoka muda wowote kuanzia sasa.