Isha kuachia albamu mpya mwimbaji wa Taarab nchini Isha Mashauzi Mwimbaji ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bendi maarufu ya muziki wa Taarab nchini Tanzania Mashauzi Classic Modern Taarab, Isha Mashauzi amejiandaa kuwapa zawadi kwa mashabiki wake jijini Dar es Salaam. Read more about Isha kuachia albamu mpya