CHADEMA: Uchaguzi Serikali za Mitaa Haujaeleweka

Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe.Freeman Mbowe akiongea na awaandishi wa Habari(Hwapo Pichani)

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA imesema kuwa pamoja na serikali kusita kuweka bayana masuala yahusuyo chaguzi za serikali za Mitaa kwa lengo la kushtukiza uchaguzi huo, wao wamejiandaa kushinda chaguzi hizo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS