Seif awafunda wakuu na makatibu tawala wa mikoa

Makamu wa pili wa rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Serikali ya Tanzania imewataka wakuu wa Mikoa na makatibu tawala kuwa na mahusiano mazuri na kuepuka muingiliano wa kiutendaji ili kusaidia kutekeleza majukumu waliyopangiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS