Jay A apata dili la studio rapa Jay A wa nchini Kenya Rapa maarufu Jay A wa nchini Kenya anatarajia kufanya kazi na wasanii wakubwa baada ya kula shavu la kufanya kazi na wasanii barani Afrika kupitia studio kubwa ya muziki nchini humo. Read more about Jay A apata dili la studio