21 judo kuingia kambini kutafuta Timu ya Taifa
Wachezaji 21 wa mchezo wa Judo wanatarajia kuingia kambini hivi karibuni kwa ajili ya mchujo wa kutafuta timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya All Africa Games inayotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu nchini Congo Brazzaville.
