Meya Kinondoni awaonya makandarasi wazembe
Meya wa manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam nchini Tanzania Yusuph Mwenda amesema itamfukuza mkandarasi yoyote aliyepewa kazi na manispaa hiyo iwapo tu atabainika ametengeneza barabara chini ya kiwango.
