Cyril: mashabiki ndiyo hupenda skendo
Cyrill Kamikaze, ametoa kauli inayotetea wasanii wanaoendesha sanaa zao kwa skendo, na kusema kuwa tabia hiyo ni kutokana na watanzania wengi kuvutiwa zaidi na tetesi, ama uvumi kuhusu maisha binafsi ya wasanii.