Manispaa yatakiwa kuongeza matangazo BVR, Iringa

Afisa Habari wa Manispaa ya Iringa Bi. Sima Bingileki.

Viongozi wa vyama vya CCM, na CHADEMA wilayani Iringa Mjini wakiitaka manispaa ya Iringa kuongeza matangazo kuhamasisha wananchi kujitokeza zaidi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mtindo wa kieletroniki BVR.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS