Utabiri wa hewa unachangia kukua kwa uchumi-Kijazi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, (TMA), Dakta Agnes Kijazi.
Kuongezeka kwa mtandao wa vituo vya kupima hali ya hewa nchini kunatajwa kuongeza kasi ya kukua kwa uchumi, ustawi wa jamii na kupambana na majanga kwa ukamilifu zaidi.