Kozi ya waamuzi ni endelevu- DAREVA
Chama cha Mpira wa wavu Mkoa wa Dar es salaam, kimesema mpango wa kutoa kozi ya waamuzi wa mchezo huo wanatarajia kuendelea nao ili kuweza kupata waamuzi wengi watakaoweza kusimamia ligi mbalimbali zilizo katika ratiba ya mwaka.