TANESCO kupanga upya viwango vya malipo ya umeme
Shirika la umeme nchini Tanzania TANESCO, linakusudia kupanga viwango vipya vya malipo ya umeme vitakavyotoa unafuu kwa taasisi hiyo na wadau wake endapo vyombo vinavyohusika ikiwamo EWURA vitaidhinisha.