NEC yaongeza siku nne uandikishaji Dar es salaam Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa itaongeza muda wa siku nne tu wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Dar es Salaam, baada ya muda wa awali wa tarehe 31, kumalizika. Read more about NEC yaongeza siku nne uandikishaji Dar es salaam