Lowasa achukua fomu , aahidi kushinda urais
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa amechukua fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya chama cha siasa cha upinzani Chadema na kuahidi kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) utashinda urais katika uchaguzi mkuu.