Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (Stamico),Zena Kangoyi
Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa STAMICO lipo katika mchakato wa kutafuta wabia ili kuanza kuzalisha upya makaa ya mawe katika mgodi wa kiwira uliopo mkoani mbeya.