BASATA yamfungia Shilole mwaka 1
Msanii wa muziki Zuena Mohamed maarufu zaidi kama Shilole amefungiwa kujihusisha na sanaa katika kipindi cha mwaka mmoja ili kujirekebisha kimaadili kwa kutumbuiza jukwaani akiwa amevaa nusu utupu katika onyesho lake huko Ubelgiji mwezi mei mwaka huu