Tanzania ni nchi ya Tano kwa Seli Mundu Duniani

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Seif Rashid

Watoto 11,000 huzaliwa na Ugonjwa wa Seli Mundu ama Siko Seli hapa nchini na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Tano duniani yenye wagonjwa wengi wa Seli Mundu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS