Belle 9: Siasa zinameza muziki kwa sasa
Star wa muziki Belle 9 amesema kuwa hivi sasa nafasi yake ya muziki imechukuliwa mno na masuala ya siasa hivyo imekuwa ni vigumu kwake kutoa kazi mpya na amekiri sasa si wakati wake mzuri kutoa ngoma hadi hapo baadaye.

