Juhudi yangu itaitangaza Tanzania kisoka - Emily
Beki wa zamani wa Klabu ya Simba anayeitumikia timu ya Neckarsulmer Emily Mgeta,amesema anaamini juhudi aliyonayo katika mechi mbalimbali dhidi ya timu yake hiyo vitamfikisha mbali zaidi katika soka na kuendelea kuitangaza Tanzania kwa upande wa soka

