Changua kiongozi anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote. Usipopiga kura usilalanike kuwa kiongozi flani hafai, cha msingi ni kujiandikisha na kupiga kura kuchangua kiongozi anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote. Read more about Changua kiongozi anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote.