Mabadiliko huanza na mimi,wewe na yule #ZamuYako2015. Napenda kuwaambia watanzania wajiandikishe kwa wingi kutekeleza haki ya msingi kwani hii ni tiketi ya kushiriki kupiga kura. Read more about Mabadiliko huanza na mimi,wewe na yule #ZamuYako2015.