Ili kushiriki uchanguzi mkuu ni lazima uwe umejiandikisha. Ili kuleta maendeleo na mabadiliko nchini ni lazima kumchaguwa kiongozi anayefaa na anayesikiliza wananchi wake na kutatua matatizo yao. Read more about Ili kushiriki uchanguzi mkuu ni lazima uwe umejiandikisha.