Wasanii kutoa wimbo wa Uchaguzi Mkuu
Katika kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi Octoba mwaka huu zaidi ya wasanii 20 wanatarajia kuandaa wimbo mahususi kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kupiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.