Christian Bella 'Amerudi' ni zawadi
Mfalme wa masauti staa Christian Bella amesema kuwa hivi sasa anafanya utambulisho mkubwa wa video ya wimbo 'Amerudi' na bendi yake ya Malaika kama zawadi kwa mashabiki wake katika onesho kubwa la muziki kesho jijini Dar es Salaam.

