Washiriki Dance100% wapewa somo
Makundi 15 ya kudansi ambayo yamefanikiwa kupita katika hatua ya usaili wa mashindano ya Dance100% 2015 kwa mwaka 2015, leo hii yamefika katika ofisi za EATV kupigwa shule kuhusiana na taratibu zitakazotumika katika hatua inayofuata.