Nape ashutumiwa kufunga goli la Mkono, Mtama
Wagombea waliokuwa wakiwania Kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge katika Majimbo ya Mtama na Mchinga wameweza kueleza masikitiko yao dhidi ya wagombea wenzao wawili ambao wametangazwa kuwa wao ndio washindi katika maeneo hayo.