Waliokufa kwa Kipindupindu Kinondoni wafikia 5

Idadi ya vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeongezeka na kufikia watano baada ya hii leo watoto wawili kufariki dunia kwa ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS