Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez
Umoja wa Mataifa umeitaka Tanzania kuhakikisha amani katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.