Watunga sera watakiwa kuboresha mfumo wa Fedha
Watunga sera nchini wameshauriwa kuboresha mfumo utakaotoa fursa sawa kwa wananchi bila kujali kipato chao ili kuweza kupata huduma za kifedha kwa wafanya biashara wadogo,wa kati na wakubwa ili kuwapandishia kipato kulingana na matumizi husika.