Mbeya City yaahidi kuzirudia pointi 6 kwa Kagera

Timu ya Mbeya City 'Wagonga Nyundo wa Mbeya' wamesema Kagera Sugar itaoga mvua ya magoli wakati wa mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Jumamosi ya wiki hii uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS