Vilabu 64 kushiriki Kombe la FA Novemba mwaka huu. Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA CUP) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Novemba Mwaka huu mpaka Mei mwakani kwa kushirikisha vilabu 64 vya ligi kuu, ligi daraja la Kwanza na ligi Daraja la pili. Read more about Vilabu 64 kushiriki Kombe la FA Novemba mwaka huu.