Serikali kupunguza idadi ya mizani barabarani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa, amesema serikali ina mpango wa kupunguza vizuizi vya barabarani ambavyo vinawekwa kiholela, na kuchangia kuzorotesha maendeleo ya ukuaji wa chumi.
