Wafanyabiashara ondoeni bidhaa zilizokwisha muda

Kaimu meneja TFDA kanda kati, Florent Kyombo (kushoto) na Dk. Engelbert Bilashoboka wakisimamia kazi ya kuteketeza bidhaa

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kanda ya kati imewataka wauzaji wa vipodozi, vifaa tiba na chakula kuziondoa bidhaa zilizokwisha muda wake na kuziteketeza kabla ya kuleta madhara kwa watumiaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS